Episodesammendrag
Kila mwaka dunia huadimisha siku ya kimataifa ya kumaliza dhuluma na uhalifu dhidi ya wanahabari. Kwenye makala haya tunaangazia haki za mwandishi wa habari kanda ya Africa Mashariki na dunia kwa jumla.
Kila mwaka dunia huadimisha siku ya kimataifa ya kumaliza dhuluma na uhalifu dhidi ya wanahabari. Kwenye makala haya tunaangazia haki za mwandishi wa habari kanda ya Africa Mashariki na dunia kwa jumla.
Episoder
Kenya : Haki za waandishi wa habari
Lyttet tilKila mwaka dunia huadimisha siku ya kimataifa ya kumaliza dhuluma na uhalifu dhidi ya wanahabari. Kwenye makala haya tunaangazia haki za mwandishi wa habari kanda ya Africa Mashariki na dunia kwa jumla.
Kenya: Shirika la Xolani lafufua matumaini kwa wasichana katika mitaa ya mabanda
Lyttet tilNchini Kenya shirika la Xolani Women of Hope limekuwa likiwahamasisha kina mama na vijana kuhusu haki za jinsia, ushirika wa vijana na ukatili wa kijinisia. George Ajowi amezungumza na mwanzilishi wa shirika hilo Dorcas Moraa katika makala ya Jua Haki zao.
Kenya : Wakimbizi wakoseshwa amani na sera za rais Donald Trump
Lyttet tilSafari ya kuwa mkimbizi si rahisi Skiza makala kufahamu mengi.
Tanzania : Amnesty yatahumu serikali
Lyttet tilKatika ripoti ya yake shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty international, limethumu serikali ya Tanzania kwa kufumbia macho wahusika walioshiriki vurugu za kipindi cha uchaguzi mwaka uliopita. Kuelewa zaidi ripoti hiyo nimemtafuta mmoja wa watafiti wa Amnesty international, bwana Sikula Oniala, mtafiti wa Amnesty kufafanua ripoti hiyo. Skiza makala kufahamu mengi.
Kenya: Harakati za kupinga mimba za mapema
Lyttet tilLydia Mwenda mwanaharakati mchanga kutoka Kenya, amekuwa mstari wa mbele kupinga mimba za mapema Skiza makala haya kufamu mengi